Sumaye: Hatutaki watu wanaochochea fujo ndani ya nchi kwasababu tu wanatafuta madaraka

Sumaye: Hatutaki watu wanaochochea fujo ndani ya nchi kwasababu tu wanatafuta madaraka

Anafanya maandalizi ya kupanda jukwaani kumpigia kampeni Jiwe , yeye na Lowassa soon mtawaona majukwaani .Jiwe anawalamisha wote wampigie kampeni ndio maana umeona Mpaka kina Mzee Makamba na macho hayaoni lakini wanapandishwa majukwaani msifikiri wanapenda .CCM sasa hivi wanapelekwa mwendo wa kihutu balaa , yanamuogopa kweli mhutu kichaa .
 
Hivi mfano huyu mzee akaamua kunyamaza nini kitatokea.. maana msiba wa Mkapa walimpotezea kabisa and yet anahaha
Sijui kitu gani kili tokea aisee! Walihojiwa wakuu wa wilaya wa uongozi wa mkapa lakini waziri mkuu wake kimya?
Katika uongozi wa mkapa kama rais kuna mtu aliekua anamfahamu kama sumaye kweli?
 
Naona huko CCM kwenye kamusi zao neno HAKI wamelififuta kabisa. Nimependa yule anaesema au aliyetufunza kuwa HAKI HUINUA TAIFA. Wajitafakari.
 
Back
Top Bottom