Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
Sumaye, je ni msafi kwamba anafaa kuliongoza taifa letu akiwa kama rais?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hafai kwa sababu ana mikono michafuKwanini?
Hafai kwa sababu ana mikono michafu
Unazungumzia rais yupi? Hata Yanga Afrika wana kiti cha urais pia.
Sumaye, je ni msafi kwamba anafaa kuliongoza taifa letu akiwa kama rais?
Mhh.mi naona urais wa Yanga Afrika utam-fit sana kutokana na uwezo wake. Si zaidi ya hapo.naomba kujibu kwa niaba yake mkuu...Raisi wa taifa letu kama ninavyomnukku hapa chini.
.
PM ni post kubwa sana kwa mtu kuonyesha contribution yake. Kama Sumaye amekaa miaka 10 kama Pm na hakuna jipya unategemea hata ukimpa huo U-rais atafanya nini? Lets talk of Fresh blood like Magufuli, I am sure he can make difference