Elections 2010 Sumaye kuongoza nchi mwaka 2015

lukubanija

Member
Joined
Aug 9, 2008
Posts
7
Reaction score
0
Kuna habari kuwa aliye wahi kuwa waziri mkuu katika awamu ya tatu ndiye pekee mwenye uwezo wa kuongoza nchi kwa tiketi ya chama cha mapinduzi
 
Haitatokea!!! na analifahamu hilo hivyo hatajisumbua!!
 
Kuna habari kuwa aliye wahi kuwa waziri mkuu katika awamu ya tatu ndiye pekee mwenye uwezo wa kuongoza nchi kwa tiketi ya chama cha mapinduzi

hii naifananisha na ile hadithi ya Bulicheka.
 
Kwani kamati kuu ya halmashauri kuu ya chama chao imekaa lini kumteua? Hawa jamaa si ndo wanendelea na kampeni za uchaguzi wa mwaka huu!!
 
Kuna habari kuwa aliye wahi kuwa waziri mkuu katika awamu ya tatu ndiye pekee mwenye uwezo wa kuongoza nchi kwa tiketi ya chama cha mapinduzi

right thing at the wrong time. umetumwa ku-distort attention zetu kwa WS na JK na vita yao ya uraisi.
 
Aiseeeee kama ulikuwepo hawa ni wale wale wanaleta habari zisizo na kichwa wala kichwa tena bila source.
 
Anafaa kuongoza nchi. Hana scandal, ana uzoefu wa miaka kumi kama PM ktk serikali iliyokuwa na mafanikio makubwa, ana integrity, ameongeza elimu itakayomwezesha kuongoza kwa weledi zaidi na pia ni mtu wa watu.
 
Kuna habari kuwa aliye wahi kuwa waziri mkuu katika awamu ya tatu ndiye pekee mwenye uwezo wa kuongoza nchi kwa tiketi ya chama cha mapinduzi

Tunapaswa kujitahidi tusile matapishi tukishatapika hata kama tuna njaa ya kufa mtu!
 
Sumaye is not sm,art enough for the job. In fact he is " zero"-he was good for Mkapa, used and dumped!
 
Anafaa kuongoza nchi. Hana scandal, ana uzoefu wa miaka kumi kama PM ktk serikali iliyokuwa na mafanikio makubwa, ana integrity, ameongeza elimu itakayomwezesha kuongoza kwa weledi zaidi na pia ni mtu wa watu.

Kwani Tanzania elimu,afya vina nafasi ktk mambo ya uongozi?
 
Atakuwa ni mmmoja kati ya Mawaziri waliopita bila kupingwa mwaka huu jimboni......:becky::becky::becky::becky:
 
Huyu junior member kaleta hii maada kupunguza makali ya kudiscuss kampeni

inayoendelea ,vijan wa mkwere hawa ahaaaaaaaaaaa

mna jaaa sana humu kudadadeki
 
tena huenda ni upande wa pili wa jeykey au MS.
 
Back
Top Bottom