johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mzee Sumaye amesema hata yeye na mzee Mkapa waliipokea nchi ikiwa katika bali ngumu sana ya kiuchumi mwaka 1995 kama ambavyo Rais Samia ameipokea.
Sumaye amesema walipoanza kurekebisha Uchumi maisha yakawa magumu zaidi kiasi cha Rais Mkapa kuitwa Ukapa lakini baada ya Muda mfupi maisha yakaboreka sana na kila mtu akamshangilia Mzee Mkapa.
Rais Samia anafanya kazi kubwa hivyo ni lazima tumtie moyo tusimkatishe tamaa kwa sababu yeye naye ni Binadamu nina uhakika 2030 kila Mtu atafurahia Uongozi huu, amesisitiza mzee Sumaye.
Chanzo: TBC Manyara