Sumaye: Tusifurahie Bunge la chama kimoja

Hilo kweli ni mr zero,kwani alikuwa hajui kama wabunge hao wapo toka 2020 mbona alinyamaza au alikuwa akiogopa sasa ndio ameona mama ndye kibonde wake naye sasa anajitutumua!
 
Ila Kipindi cha mwendazake alikaa kimyaa kama maji ya mtungi. Sasa hivi ndio anakumbuka Bunge la Chama kimoja.

Wasichoeleza kwa undani ni kwamba bunge la chama kimoja ni matokeo ya tume mbovu ya uchaguzi na katiba yenye Mrengo wa urais wa kifalme.
JPM angemtoa mbupu
 
Mwaka 2015 Mstaafu huyu alinishawishi sana kumpigia kura Lowasa,huyu mzee mimi nampenda kwa sababu chini ya utawala wake ndipo Tanzania ilitambulika ulimwenguni kuwa Tanzania siyo masikini kama tulivyokuwa tunadharauliwa kabla ya hapo.
 
Ila Kipindi cha mwendazake alikaa kimyaa kama maji ya mtungi. Sasa hivi ndio anakumbuka Bunge la Chama kimoja.

Wasichoeleza kwa undani ni kwamba bunge la chama kimoja ni matokeo ya tume mbovu ya uchaguzi na katiba yenye Mrengo wa urais wa kifalme.
Mwendazake mwendazake mbona wewe ulikaa kimya?
 
Ndiyo maana anaitwa mr ziro.

Hajui kwamba wabunge hawajipeleki bungeni wanapelekwa na wananchi.

Huwezi kuwalazimisha wananchi wachague chama wasichokitaka.
Bunge hili la leo lote lilichaguliwa na kubarikiwa na Magufuri na si vinginevyo.
 
Kwani Sumaye si aliikana CDM akarejea aliko kumwogopa JPM na kulinda maslahi yao.!

Bunge lililopo ni hafifu na sio la halali
 
Hilo kweli ni mr zero,kwani alikuwa hajui kama wabunge hao wapo toka 2020 mbona alinyamaza au alikuwa akiogopa sasa ndio ameona mama ndye kibonde wake naye sasa anajitutumua!
Kibonde ni yule jamaa aliyekwa na corona bila huruma wakati akijigamba kuwa yeye ndiye yu funguo za kifo na uzima pumbavu zake mchwa wanajimegea taratibu.
 
Mama aisikie hii.maana mambo ya hovyo yanazidi kukithiri kila kukicha kwenye awamu yake.wahuni wamemzidi ujanja wanajipigia tu mali za umma.
 
Ndiyo maana anaitwa mr ziro.

Hajui kwamba wabunge hawajipeleki bungeni wanapelekwa na wananchi.

Huwezi kuwalazimisha wananchi wachague chama wasichokitaka.
Eti wananchi!
Wabunge waliopo Sasa hivi wengi wao Kama siyo wote hawakuchaguliwa na wananchi walipitishwa na CCM chini ya mtutu wa bunduki.
 
Atulie, yeye na Mkapa walidalalia mali za umma na kujitajirisha sana. Akae azile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…