Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JPM angemtoa mbupuIla Kipindi cha mwendazake alikaa kimyaa kama maji ya mtungi. Sasa hivi ndio anakumbuka Bunge la Chama kimoja.
Wasichoeleza kwa undani ni kwamba bunge la chama kimoja ni matokeo ya tume mbovu ya uchaguzi na katiba yenye Mrengo wa urais wa kifalme.
Mwaka 2015 Mstaafu huyu alinishawishi sana kumpigia kura Lowasa,huyu mzee mimi nampenda kwa sababu chini ya utawala wake ndipo Tanzania ilitambulika ulimwenguni kuwa Tanzania siyo masikini kama tulivyokuwa tunadharauliwa kabla ya hapo.Baada ya Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuonyesha 'madudu' ya ubadhirifu wa fedha kwenye maeneo mbalimbali, Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, ameibuka akisema Bunge linapaswa kuwa kali katika kuisimamia na kuishauri Serikali.
Sumaye aliyekuwa Waziri Mkuu kwa muongo mmoja kuanzia mwaka 1995 hadi 2005 katika utawala wa Awamu ya Tatu amesema kwa kawaida hakuna Serikali ya demokrasia inayokataa ushauri wa Bunge.
"Haya mambo yanapojitokeza mara kwa mara lazima tukubali kuna tatizo mahali fulani, kubwa kabisa ni Serikali lakini Bunge nalo halifuatili," alisema.
Sumaye anatoa kauli hiyo ikiwa ni takribani wiki mbili zimepita tangu Ripo-ti za CAG Charles Kichere kwa mwaka 2021/22 zilizowasilishwa bungeni jijini Dodoma.
Katika mahojiano kati ya Sumaye na televisheni ya mtandaoni ya Dar 24, yalijikita katika masuala mbalimbali yanayomhusu Sumaye na ripoti za CAG, alisema;
"Bunge lina kazi kubwa na linatakiwa liwe na ukali zaidi, ndiyo maana tunapenda Bunge lenye vyama mbalimbali kwa sababu ni afya kwa nchi.
"Hiki kitu watu hawakielewi, watu wanafikiri ukiwa na Bunge la chama kimoja, ndio njema, hapana. Ukiwa na Bunge la chama kimoja ndani ya mfumo wa vyama vingi ni tatizo," alisema.
Ripoti za CAG alizokuwa anajadili Sumaye zimeonyesha ubadhirifu kati-ka taasisi na mamlaka za Serikali, hali ambayo imewaibua wadau wakitaka hatua kali zichukuliwe dhidi ya wahusika.
Tayari Rais Samia Suluhu Hassan, amekwishaanza kuchukua hatua kwa kutengua uteuzi wa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ndege za Serikali (TGFA) na kuivunja Bodi ya Shirika la Reli Tanzania (TRC).
Mbali na hilo, Rais Samia ametoa maagizo kwa Katibu Mkuu Kiongozi.
DK Moses Kusiluka kuhakikisha makatibu wakuu na watendaji wakuu wote wa taasisi za Serikali wanapitia kwa kina taarifa ya CAG, wajibu na kuzifanyia kazi kwa haraka hoja zote.
Bunge la sasa ambalo lilitokana na uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020, lina wabunge wengi wa chama tawala- Chama Cha Mapinduzi (CCM), zaidi ya asilimia 90 huku upinzani wakiwa wachache tofauti na mabunge yaliyopita na wengine hawatambuliwi na vyama vyao.
Aprili 12 mwaka huu, Spika Tulia Ack-son alisema wabunge wanaruhusiwa kuijadili ripoti hiyo kwa namna wanavyoona inafaa lakini watambue kuwa Serikali haitalazimika kujibu kwa kuwa Kamati za Bunge Mashirika ya Umma (PAC) na ile ya Serikali za mitaa (LAAC) itapitia taarifa hiyo na itawasilishwa bungeni.
Mwendazake mwendazake mbona wewe ulikaa kimya?Ila Kipindi cha mwendazake alikaa kimyaa kama maji ya mtungi. Sasa hivi ndio anakumbuka Bunge la Chama kimoja.
Wasichoeleza kwa undani ni kwamba bunge la chama kimoja ni matokeo ya tume mbovu ya uchaguzi na katiba yenye Mrengo wa urais wa kifalme.
Una umri gani?Ndiyo maana anaitwa mr ziro.
Hajui kwamba wabunge hawajipeleki bungeni wanapelekwa na wananchi.
Huwezi kuwalazimisha wananchi wachague chama wasichokitaka.
Bunge hili la leo lote lilichaguliwa na kubarikiwa na Magufuri na si vinginevyo.Ndiyo maana anaitwa mr ziro.
Hajui kwamba wabunge hawajipeleki bungeni wanapelekwa na wananchi.
Huwezi kuwalazimisha wananchi wachague chama wasichokitaka.
Yametoka moyoni mwake kwa sababu anatambua na kuthamini mfumo wa vyama vingi nchini.Mumtazame machoni muone kama hayo yanatoka moyoni au amekuwa kama Lipumba
Kwani Sumaye si aliikana CDM akarejea aliko kumwogopa JPM na kulinda maslahi yao.!Baada ya Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuonyesha 'madudu' ya ubadhirifu wa fedha kwenye maeneo mbalimbali, Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, ameibuka akisema Bunge linapaswa kuwa kali katika kuisimamia na kuishauri Serikali.
Sumaye aliyekuwa Waziri Mkuu kwa muongo mmoja kuanzia mwaka 1995 hadi 2005 katika utawala wa Awamu ya Tatu amesema kwa kawaida hakuna Serikali ya demokrasia inayokataa ushauri wa Bunge.
"Haya mambo yanapojitokeza mara kwa mara lazima tukubali kuna tatizo mahali fulani, kubwa kabisa ni Serikali lakini Bunge nalo halifuatili," alisema.
Sumaye anatoa kauli hiyo ikiwa ni takribani wiki mbili zimepita tangu Ripo-ti za CAG Charles Kichere kwa mwaka 2021/22 zilizowasilishwa bungeni jijini Dodoma.
Katika mahojiano kati ya Sumaye na televisheni ya mtandaoni ya Dar 24, yalijikita katika masuala mbalimbali yanayomhusu Sumaye na ripoti za CAG, alisema;
"Bunge lina kazi kubwa na linatakiwa liwe na ukali zaidi, ndiyo maana tunapenda Bunge lenye vyama mbalimbali kwa sababu ni afya kwa nchi.
"Hiki kitu watu hawakielewi, watu wanafikiri ukiwa na Bunge la chama kimoja, ndio njema, hapana. Ukiwa na Bunge la chama kimoja ndani ya mfumo wa vyama vingi ni tatizo," alisema.
Ripoti za CAG alizokuwa anajadili Sumaye zimeonyesha ubadhirifu kati-ka taasisi na mamlaka za Serikali, hali ambayo imewaibua wadau wakitaka hatua kali zichukuliwe dhidi ya wahusika.
Tayari Rais Samia Suluhu Hassan, amekwishaanza kuchukua hatua kwa kutengua uteuzi wa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ndege za Serikali (TGFA) na kuivunja Bodi ya Shirika la Reli Tanzania (TRC).
Mbali na hilo, Rais Samia ametoa maagizo kwa Katibu Mkuu Kiongozi.
DK Moses Kusiluka kuhakikisha makatibu wakuu na watendaji wakuu wote wa taasisi za Serikali wanapitia kwa kina taarifa ya CAG, wajibu na kuzifanyia kazi kwa haraka hoja zote.
Bunge la sasa ambalo lilitokana na uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020, lina wabunge wengi wa chama tawala- Chama Cha Mapinduzi (CCM), zaidi ya asilimia 90 huku upinzani wakiwa wachache tofauti na mabunge yaliyopita na wengine hawatambuliwi na vyama vyao.
Aprili 12 mwaka huu, Spika Tulia Ack-son alisema wabunge wanaruhusiwa kuijadili ripoti hiyo kwa namna wanavyoona inafaa lakini watambue kuwa Serikali haitalazimika kujibu kwa kuwa Kamati za Bunge Mashirika ya Umma (PAC) na ile ya Serikali za mitaa (LAAC) itapitia taarifa hiyo na itawasilishwa bungeni.
Baada ya kutishwa na Jiwe mla roho za watu.Ila hatutasahau jinsi ulivyorudi CCM kutoka CDM!
Akemee nini kwa mpumbavu yule wa Chato?Huyu mzee sijamwelewa! Wakati tunaunda bunge la chama kimoja mwaka 2020 si alikuwepo? Mbona hatukumsikia akikemea jambo hilo?
Kibonde ni yule jamaa aliyekwa na corona bila huruma wakati akijigamba kuwa yeye ndiye yu funguo za kifo na uzima pumbavu zake mchwa wanajimegea taratibu.Hilo kweli ni mr zero,kwani alikuwa hajui kama wabunge hao wapo toka 2020 mbona alinyamaza au alikuwa akiogopa sasa ndio ameona mama ndye kibonde wake naye sasa anajitutumua!
Lakini katolewa yeye na corona.JPM angemtoa mbupu
AahahaaaaLakini katolewa yeye na corona.
Check record zangu huku mzee...Mwendazake mwendazake mbona wewe ulikaa kimya?
Eti wananchi!Ndiyo maana anaitwa mr ziro.
Hajui kwamba wabunge hawajipeleki bungeni wanapelekwa na wananchi.
Huwezi kuwalazimisha wananchi wachague chama wasichokitaka.
Mama anaonewa sana wakati mwasisi wa haya yote yuko Chato amepumzika.Mama aisikie hii.maana mambo ya hovyo yanazidi kukithiri kila kukicha kwenye awamu yake.wahuni wamemzidi ujanja wanajipigia tu mali za umma.