Sumba haiwezi kuvaa nembo ya GSM

Sumba haiwezi kuvaa nembo ya GSM

Singasinga

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2011
Posts
2,711
Reaction score
3,279
Nadhani iko wazi Simba hawawezi vaa jersey yenye nembo ya GSM so huu mjadala ufungwe na tuendelee na mengineyo.

Kwanza bega la kushoto liko booked tayari[emoji881]
IMG-20211208-WA0027.jpg
 
Mateka,Muddy kaongeza bango lingine[emoji15]
 
Mtavaa tu hata muweke matakoni kuvaa mtavaa tu mwaka huu
 
Wataenda cas kulalamika hawa,simnawajua lakini Uto walivyo?
 
Mnakataa Logo gani tena jamani? Si tulikubaliana Simba ishaachana na mambo ya kizamani ya kukataa logo za wadhamini?
 
Back
Top Bottom