Sumbawanga: Disko zipigwe Marufuku mashuleni

Sumbawanga: Disko zipigwe Marufuku mashuleni

MTZ 255Dar

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2018
Posts
1,149
Reaction score
3,963
Katika pitapita zangu basi nikakutana na wanafunzi (KE na ME) wakicheza Disko huku mwanaume akiwa amemkumbatia mwanafunzi mwenzake wa kike.

Nimejifikiria sana manufaa ya huu uchafu mashuleni nikaona kwanini serikali isiharamishe huu upumbavu huko mashuleni?

Angalia hii video chini harafu utoe maoni yako.

Mitoto kutwa kufeli

Ubongo zao umejaa wakina zuchu mondi konde na ujng mwingineee
Hapo wakitoka ni kwenda kulana tu

Na mfumo sahivi unapenda kwelikweli
Mitoto iwe hivyo

Ova
 
Katika pitapita zangu basi nikakutana na wanafunzi (KE na ME) wakicheza Disko huku mwanaume akiwa amemkumbatia mwanafunzi mwenzake wa kike.

Nimejifikiria sana manufaa ya huu uchafu mashuleni nikaona kwanini serikali isiharamishe huu upumbavu huko mashuleni?

Angalia hii video chini harafu utoe maoni yako.

Mbona Kama shule yangu SUMBAWANGA HIGH SCHOOL
 
Acha madogo waenejoy....hakuna Cha ajabu hapo ..mbona sisi tumecheza Sana madisco hapo sumbawanga zaidi ya miaka 20 iliyopita..... Rukwa high school, kantalamba sc , kizwite sc , mazwi sec ..Mambo yalikuwa ivo ivo.
 
Acheni uchawi maisha sio magumu kiasi hicho kubambia kuna zambi gani nyie ndo mnataka vijana wa kiume nyege ziwashike mpaka zihamie nyuma wawe mashoga
Kama maisha siyo magumu kiasi hicho mbona hutaki mkeo aliwe na mwanaume mwingine zaidi yako?

Una akili za hovyo sana ww jamaa, waache uchawi ila hao mabinti zenu wakipewa mimba mnakimbilia kufunga vijana wa watu jera.

Alafu kingine hakuna mzazi anaye zaa binti yake ili aje kuwa kipozeo cha nyege za vijana mitaani na mashuleni pumbavu.
 
Back
Top Bottom