Sumbawanga: Disko zipigwe Marufuku mashuleni

Sumbawanga: Disko zipigwe Marufuku mashuleni

Acha madogo waenejoy....hakuna Cha ajabu hapo ..mbona sisi tumecheza Sana madisco hapo sumbawanga zaidi ya miaka 20 iliyopita..... Rukwa high school, kantalamba sc , kizwite sc , mazwi sec ..Mambo yalikuwa ivo ivo.
Alafu wakisha pigana miti na kupeana mimba muanze kuwaandama vijana wa watu kwa kuwafunga jera.
 
Kama maisha siyo magumu mbona hutaki mkeo aliwe na mwanaume mwingine zaidi yako?

Una akili za hovyo sana ww jamaa, waache uchawi ila hao mabinti zenu wakipewa mimba mnakimbilia kufunga vijana wa watu jera.

Alafu kingine hakuna mzazi anaye zaa binti yake ili aje kuwa kipozeo cha nyege za vijana mitaani na mashuleni pumbavu.
We kenge huyo binti yako akipatwa nyege utamla wewe ndo nyie mnazaa watoto wa kike mnalazimisha aolewe na matajiri vichwa vimejaa umaskini mpaka MNAKUWA wabaguzi.
Hizo bash Zina umuhimu wake wengine ndo tumepatia wake zetu ambao mpaka sasa tupo nao. ACHA KUISHI MAISHA YA DHAHANIA
 
Una uhakika hao unaowaona ni wanafunzi au mbuzi?Usiamini sana vitu unavyo viona sumbawanga!!
 
Una uhakika hao unaowaona ni wanafunzi au mbuzi?Usiamini sana vitu unavyo viona sumbawanga!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Disco imeanza Leo mashuleni au ilikuwepo toka miaka ya zamani?
 
Katika pitapita zangu basi nikakutana na wanafunzi (KE na ME) wakicheza Disko huku mwanaume akiwa amemkumbatia mwanafunzi mwenzake wa kike.

Nimejifikiria sana manufaa ya huu uchafu mashuleni nikaona kwanini serikali isiharamishe huu upumbavu huko mashuleni?

Angalia hii video chini harafu utoe maoni yako.

Hapo wakitoka kinachofuata ni biological contact
 
We kenge huyo binti yako akipatwa nyege utamla wewe ndo nyie mnazaa watoto wa kike mnalazimisha aolewe na matajiri vichwa vimejaa umaskini mpaka MNAKUWA wabaguzi.
Hizo bash Zina umuhimu wake wengine ndo tumepatia wake zetu ambao mpaka sasa tupo nao. ACHA KUISHI MAISHA YA DHAHANIA
Basi nitumie namba ya binti yako au dada yako aje anipe huduma nina nyege sana, bila shaka umemzaa kwa ajili ya kutoa huduma ya kupunguza nyege za vijana.

Zee la hovyo kabisa.
 
Watoto wa shule za kata hao! Halafu watoto wa aina hiyo, ndiyo kirahisi tu tutegemee wapate ufaulu wa daraja la 1, 2 au la 3!

I wish wangepelekwa vyuo vya ufundi stadi (VETA), ili kupata basic skills za maisha. Huko sekondari naona kama wamepotea njia.
 
Haya madisco yapo tangu enzi za mwalimu. Acheni vijana wafurahie ujana wao, ulitaka wachezaje?
 
Hapo cha ajabu ni nini? Tena wapo na uniform zao. Aliyekwambieni shule ni kusoma tuu ni nani? Wacheni ukiritimba usio na tija disko la mara moja kwa mwaka lina athari gn?
 
Mimba wanapewa hata ambao hawaendi disco.
Ni bora maana hatokuwa na kisingizio cha kusema nimepata mimba kwa sababu ya uzembe wa wazazi kuniruhusu kwenda kwenye madisko ya kihuni.

Siku zote mlee mtoto kwenye njia sahihi ili hata akiharibika kwa upumbavu wake asikulaumu kuwa ww ndo sababu ya yy kuharibika maana hawakosagi visingizio mambo yakishaga waendea kombo.
 
Katika pitapita zangu basi nikakutana na wanafunzi (KE na ME) wakicheza Disko huku mwanaume akiwa amemkumbatia mwanafunzi mwenzake wa kike.

Nimejifikiria sana manufaa ya huu uchafu mashuleni nikaona kwanini serikali isiharamishe huu upumbavu huko mashuleni?

Angalia hii video chini harafu utoe maoni yako.

WAPIGE ILA WAIMBE NYIMBO ZA KUISIFIA CCM NA VIONGOZI WAKE
 
Back
Top Bottom