MTZ 255Dar
JF-Expert Member
- Sep 25, 2018
- 1,149
- 3,963
Huu ni ujinga mwingine Tena sio WA kufumbia macho kabisa hata kidogo. Wazazi wanatakiwa kupaza sauti juu ya hili jambo.Wizara ya Afya Tanzania pimeni akili za Walimu Wote wa shule hii[emoji706]
Kweli. Nimekwazika Sana na Huu uchafu. Iweje watoto waruhusiwe kucheza Disco shuleni tena bila monitoringHuu ni ujinga mwingine Tena sio WA kufumbia macho kabisa hata kidogo. Wazazi wanatakiwa kupaza sauti juu ya hili jambo.
Mbona Kama shule yangu SUMBAWANGA HIGH SCHOOLKatika pitapita zangu basi nikakutana na wanafunzi (KE na ME) wakicheza Disko huku mwanaume akiwa amemkumbatia mwanafunzi mwenzake wa kike.
Nimejifikiria sana manufaa ya huu uchafu mashuleni nikaona kwanini serikali isiharamishe huu upumbavu huko mashuleni?
Angalia hii video chini harafu utoe maoni yako.
nimeona iyo jezi ni yenyew aise walikua ndugu zetu Enzi izo kanta boy 2008 tunawasha moto baraaMbona Kama shule yangu SUMBAWANGA HIGH SCHOOL
Kama maisha siyo magumu kiasi hicho mbona hutaki mkeo aliwe na mwanaume mwingine zaidi yako?Acheni uchawi maisha sio magumu kiasi hicho kubambia kuna zambi gani nyie ndo mnataka vijana wa kiume nyege ziwashike mpaka zihamie nyuma wawe mashoga