Sumbawanga: Head Master wa Chanji Sekondari akutwa amejinyonga kwenye pagala lake

Mtu mmja ambae alikuwa ni Mkuu wa shule ya sekondari Chain bwana Peter Sewa amekutwa Amejinyonga Kwenye eneo la site alikokuwa anaendelea na ujenzi wa nyumba yake.

Polisi na familia wamethibitisha.
----
MKUU WA SHULE AJINYONGA HADI KUFA

Mtu mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 39 aliyetambulika kwa jina la Peter Mwile Sewa aliyekuwa mkuu wa shule ya sekondari ya chanji iliyopo katika kata ya chanji Halmashauri ya manispaa ya sumbawanga mkoani Rukwa amekutwa amejinyonga hadi kufa katika nyumba aliyokuwa akiijenga katika eneo la Utengule mkoani humo

Wakizungumza ndugu wa Marehemu pamoja na majirani wamesema Marehemu aliondoka nyumbani September 18 na kuelekea eneo lake la ujenzi ambapo baada ya muda mrefu kupita bila kuwa na mawasiliano na familia mke wa marehemu aliingiwa hofu na kuanza kutafuta marafiki zake ambapo waliamua kwenda katika eneo hilo na kukuta mwili huo.

Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo mwenyekiti wa mtaa wa kaungwa John Mlumba Kubini amesema alipata taarifa hizo saanane usiku wa kuamkia leo, ambapo pamoja na mambo mengine ameitaka jamii kutokuchukua maamuzi ya haraka wanapo kuwa na matatizo na badala yake ni vyema kushirikisha watu wakaribu au viongozi ili kupata ufumbuzi.

--
My Take
Sio kawaida Kwa Walimu kuwa na stress ,hii imekuwa Mpya
Duuh hatari!
 
Fuatilia mwaka 2008 hii I'd ilikuwa inaandika hoja nzito lakini siku hizi sijui imekuwaje
Kwamba alitukana ukweni kwake au ndo kuna magaano ya wakwe wakifika umri fulani wanapata changamoto ..? Maana kwa maelezo yake kwa uchache ukweni kuna maagano yanayosumbua ukoo mzima. (ziko madhabu zinazonena uharibifu)

Sasa na yeye kama mdau wa ukoo ambao Baba mkwe kakimbia mji kuna uwezekano kapatwa na mambo ya kutisha.. Kuna maagano hata mtu ukimbilie Ulaya madhabau za giza zilizo inuliwa bado zitaendelea kunena ubaya na mateso tu juu yako.
 
Mtu mmja ambae alikuwa ni Mkuu wa shule ya sekondari Chain bwana Peter Sewa amekutwa Amejinyonga Kwenye eneo la site alikokuwa anaendelea na ujenzi wa nyumba yake.

Polisi na familia wamethibitisha.
----
MKUU WA SHULE AJINYONGA HADI KUFA

Mtu mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 39 aliyetambulika kwa jina la Peter Mwile Sewa aliyekuwa mkuu wa shule ya sekondari ya chanji iliyopo katika kata ya chanji Halmashauri ya manispaa ya sumbawanga mkoani Rukwa amekutwa amejinyonga hadi kufa katika nyumba aliyokuwa akiijenga katika eneo la Utengule mkoani humo

Wakizungumza ndugu wa Marehemu pamoja na majirani wamesema Marehemu aliondoka nyumbani September 18 na kuelekea eneo lake la ujenzi ambapo baada ya muda mrefu kupita bila kuwa na mawasiliano na familia mke wa marehemu aliingiwa hofu na kuanza kutafuta marafiki zake ambapo waliamua kwenda katika eneo hilo na kukuta mwili huo.

Soma Pia: Mwalimu ajinyonga huko Moshi kisa riba kubwa ya mkopo

Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo mwenyekiti wa mtaa wa kaungwa John Mlumba Kubini amesema alipata taarifa hizo saanane usiku wa kuamkia leo, ambapo pamoja na mambo mengine ameitaka jamii kutokuchukua maamuzi ya haraka wanapo kuwa na matatizo na badala yake ni vyema kushirikisha watu wakaribu au viongozi ili kupata ufumbuzi.

--
My Take
Sio kawaida Kwa Walimu kuwa na stress ,hii imekuwa Mpya
Da!!! mwenye kamba ya kujinyongea marehm,kuna milioni 10 hapa,aje 2fanye transaction!!
 
Back
Top Bottom