Sumbawanga Heshima Yenu

Sumbawanga Heshima Yenu

Sound hizo hakuna akili matope kuwahi kutokea kama zako mkuu
 
Nyanda za juu kusini kote kuna mvua ni masimu wa mvua.
Ila wangetafuta wazee wa mila wangezuia mvua isinyeshe.
Huko Kuna wataalam wa kuleta mvua na kukimbiza mvua.
Kuna wataalam pia wa kuleta radi.
 
SUMBAWANGA WALOZI SANA TENA KWA FAIDA YA UMMA WAKALOGA MVUA KUBWA IKASHUKA ILI WAPATE SHOW YA BURE NA KWELI WAMEFANIKIWA!
SHOW NI SAA 12 BURE KABISA
 
Sumbawanga Hakufai, Jana Show Ya Wasafi Haikumalizika Yote baada Ya Mvua Kubwa Kunyesha, Haijulikani Ilitokea Wapi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwahiyo mvua haitakiwi kunyesha haswa miezi ya mvua za vuli? Acheni kuwa na imani za kishirikina kwa kila jambo
 
diamond kadondoka na steji ...mpk sasa hawajasema kama kaumia au lah..
 
diamond kadondoka na steji ...mpk sasa hawajasema kama kaumia au lah..

Nimecheka sana pale Mbosso alipokua anawachungulia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naona hawajaumia nimeona salaam kapost kuwa wapo poa
 
Back
Top Bottom