Elections 2010 Sumbawanga mjini hapatoshi! Je watachakachua?

Elections 2010 Sumbawanga mjini hapatoshi! Je watachakachua?

ESCO

Member
Joined
Sep 23, 2010
Posts
22
Reaction score
1
Hali ni tete Sumbawanga Mjini. Waziri Mkubwa atia Timu Kunusuru Chama. Matokeo yanasuburiwa kwa hamu. Mabomu yaanza kutumika kuwasambaratisha wafuasi wa upinzani.
Wenye data zaidi leteni.
 
Mungu atuepushie mbali haya machafuko yanayoelekea kuletwa na hawa jamaa wa ccm.
 
Hali ni tete Sumbawanga Mjini. Waziri Mkubwa atia Timu Kunusuru Chama. Matokeo yanasuburiwa kwa hamu. Mabomu yaanza kutumika kuwasambaratisha wafuasi wa upinzani.
Wenye data zaidi leteni.

Mabomu yanaendelea kurindima Sumbawanga Mjini. Matokeo ya awali toka kwa makada
UBUNGE - Yamsebo (16,868) wa Chadema , Aishe (16,765) wa CCM.
Matokeo ya Rais yametangazwa, ya UBUNGE hadi saa usiku!
 
Ya Urais bado Mkuu!!! kwasababu wale wasimamizi wa kura eti wanasema kura ZENYE MGOGORO badala ya KURA ZILIZOHARIBIKA!!! hii inaonyesha kuna walakini fulani wanataka kuchakachua mambo...ngoja wapigwe juju sasa.....:smile-big:
 
Back
Top Bottom