GE2025 Sumbawanga: Mtoto wa mgombea udiwani Kata ya Msua apanda jukwaani kumnadi baba yake

GE2025 Sumbawanga: Mtoto wa mgombea udiwani Kata ya Msua apanda jukwaani kumnadi baba yake

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mgombea wa udiwani Kata ya Msua Jimbo la Sumbawanga Mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Juma Thomas Mnanka amezindua kampeni Septemba 28, 2025 eneo la John Kella.

Katika hali iliyowavutia wananchi mbalimbali waliojitokeza katika Mkutano huo wa kampeni, ni kitendo cha mtoto wa kwanza wa mgombea huyo Jeniffer Juma Mnanka kupanda jukwaani na kumnadi baba yake anayeomba ridhaa ya kuongoza Kata hiyo kwa awamu ya pili.

 
Back
Top Bottom