Mzee Mwanakijiji Platinum Member Joined Mar 10, 2006 Posts 33,771 Reaction score 41,027 Nov 1, 2010 #1 Kutoka Rukwa, vijana wamekataa kwenda kulala wanasubiri matokeo ya uchaguzi. Wenyewe wanasema "hakuna kulala, mpaka kieleweke"..
Kutoka Rukwa, vijana wamekataa kwenda kulala wanasubiri matokeo ya uchaguzi. Wenyewe wanasema "hakuna kulala, mpaka kieleweke"..
Gwamahala JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 3,925 Reaction score 2,325 Nov 1, 2010 #2 Mkuu MJJ, Hata mimi hapa hakuna kulala...tupo pamoja mkuu! Mungu amesikia kilio chetu na ametutembelea kwa mwale wa moto!!!!!!!!!!!!!!!
Mkuu MJJ, Hata mimi hapa hakuna kulala...tupo pamoja mkuu! Mungu amesikia kilio chetu na ametutembelea kwa mwale wa moto!!!!!!!!!!!!!!!
mchakachuaji192 JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 366 Reaction score 68 Nov 1, 2010 #3 inatia moyo kwa kweli hali hii jamani, am proud to be forces for change (dot.com generation)
firstcollina JF-Expert Member Joined Aug 8, 2009 Posts 349 Reaction score 23 Nov 1, 2010 #4 Imesimama mbaya wazee!
C chanai JF-Expert Member Joined Oct 9, 2010 Posts 279 Reaction score 2 Nov 1, 2010 #5 Mwaka huu kweli watu wameamua kujikomboa
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,468 Reaction score 911,184 Nov 1, 2010 #6 Kujikomboa kwahitaji kujitoa mhanga kiujumla
Chacha wa Mwita Senior Member Joined May 17, 2008 Posts 167 Reaction score 34 Nov 1, 2010 #7 Vipi Musoma Mjini? hakuna mwenye taarifa za huko?
Nyunyu JF-Expert Member Joined Mar 9, 2009 Posts 4,354 Reaction score 1,010 Nov 1, 2010 #8 Kwa mwamko huu, tume itabidi itekeleze majukumu yake kwa haki, la sivyo yananukia ya kenya!!!:A S angry:
Kwa mwamko huu, tume itabidi itekeleze majukumu yake kwa haki, la sivyo yananukia ya kenya!!!:A S angry: