Elections 2010 Sumbawanga vijana wagoma kwenda kulala

Elections 2010 Sumbawanga vijana wagoma kwenda kulala

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
33,771
Reaction score
41,027
Kutoka Rukwa, vijana wamekataa kwenda kulala wanasubiri matokeo ya uchaguzi. Wenyewe wanasema "hakuna kulala, mpaka kieleweke"..
 
Mkuu MJJ,
Hata mimi hapa hakuna kulala...tupo pamoja mkuu!
Mungu amesikia kilio chetu na ametutembelea kwa mwale wa moto!!!!!!!!!!!!!!!
 
inatia moyo kwa kweli hali hii jamani, am proud to be forces for change (dot.com generation)
 
Kwa mwamko huu, tume itabidi itekeleze majukumu yake kwa haki, la sivyo yananukia ya kenya!!!:A S angry:
 
Back
Top Bottom