Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa mapema leo Viongozi,Wananchi, Wafanyabiashara, Viongozi wa Serikali na siasa wa Chama Cha Mapinduzi(CCM), Taasisi na Watumishi wamefanya usafi wa mazingira katika maeneo mbalimbali ya Mji wa Sumbawanga ikiwa ni pamoja na barabara za Mjini na Stendi ya Sokomatola.
Soma Pia Rukwa: Matukio Yanayojiri Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kukiwa na kauli mbiu ya “TUNZA MAZINGIRA YAKUTUNZE” Usibaki nyuma Mtu ni Afya.
Soma Pia Rukwa: Matukio Yanayojiri Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kukiwa na kauli mbiu ya “TUNZA MAZINGIRA YAKUTUNZE” Usibaki nyuma Mtu ni Afya.