Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Hao nao wanaeneza chuki badala ya UnduguWaonye wale wanaoita wasioamini dini yao kafiri
MUNGU NI MMOJA TU!,Aliyeumba mbingu na nchi na vyote vilivyomo,anayetoa UHAI na kuutwaa, mwenye uwezo wa kuua ROHO.Kauli hii inaonyesha wazo la kuheshimu imani za kidini za wengine ili kupata heshima kwa imani yako mwenyewe.
Inasisitiza uvumilivu wa kidini na umuhimu wa kuonyesha heshima kwa miungu au dini nyingine kama njia ya kudumisha amani na kuelewana katika jamii.
Hekima au busara hii ilisemwa na watu wa Sumerian, jamii ya kale iliyokuwepo Mesopotamia ( Iraq ya sasa).
Hatakama miungu yao ni aina gani, inapaswa kuheshimiwa ili nao wamuheshimu MUNGU wako mkuu..
Uwepo wa miungu ni imani ya kipagani/kichawi/kishetani .
''Kutoka 20:2-3=>Mimi ni Bwana MUNGU wako,niliyekutoa misri katika nyumba ya utumwa -USIWE na miungu mingine ila MIMI.''
Nina mheshimu na nita mheshimu MUNGU WA MBINGUNI MWENYE ENZI YOTE tu!,hawa viumbe wanaojipa uungu ni ROHO WACHAFU wanaostahili kukemewa kwa jina la YESU KRISTO.Hatakama miungu yao ni aina gani, inapaswa kuheshimiwa ili nao wamuheshimu MUNGU wako mkuu.
Ukidharau miungu ya wengine, unawapa kibali cha kumdharau MUNGU wako.Nina mheshimu na nita mheshimu MUNGU WA MBINGUNI MWENYE ENZI YOTE tu!,hawa viumbe wanaojipa uungu ni ROHO WACHAFU wanaostahili kukemewa kwa jina la YESU KRISTO.