Summary ya uzi wa tuliowahi kupata pesa na kufilisika tukutane hapa pita hapa utajue machache

Summary ya uzi wa tuliowahi kupata pesa na kufilisika tukutane hapa pita hapa utajue machache

Red black

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2019
Posts
18,719
Reaction score
60,636
Watu wameelezea visa vingi sana na masaibu waliyoyapata na kurudi 0 Yani kutoka kuwa tajiri na kuwa kapuku maskini cha kufurahisha zaidi wengi wao baada ya msoto wa miaka minne au mitano walirudi na kuwa matajiri tena.

Sababu zilizofanya wengi kufilisika ni hizi hapa;

Umalaya,
Kutapeliwa,
Kufanya biashara ambazo hawajazifanyia research ya kutosha,
ulevi,

Kumuamini mtu kwa urahisi,
Magonjwa,
Ndoa,
Kukosa nidhamu ya pesa.

Ukiwa tajiri na baada ya muda ukafilisika kama hauko strong kisaikolojia lazima uchizike na ukifanya mchezo unazikwa.
 
1. Nimefilisiwa na chundai ya Chausiku yutiai...😪
downloadfile-2.webp
 
Back
Top Bottom