Wanajamvi nimefatilia tangazo la kamanda Muliro limenipa maswali kidogo kuhusu kufungwa kwa barabara kwa ajili ya mkutano wa SUMMIT. Je, ni sawa maana mm naona kana kwamba inapunguza fursa za watafutaji katika harakati za mjini.
Je, kusingekua na mbadala wake walau kufungwa upande mmoja ili walau traffic waongoze watu japo itakuwa kwa hali ngumu?
Wategemea uchumi wa kawaida kwa safar za kila siku itawarudisha nyuma kiasi fulani!!🤔🤔🤔
My country TZ inamengi sana🫣