Itawachukua muda mrefu kujitambua kwanini Mpo hapa......
Kosoa na kudhihaki kama wewe siyo mmoja wao.......
Ni hayo tu.
Mbwiga88 nipo mbali na familia vipi kijana ameionaje Necta?
na vipi upo mkoani au usharudi kwenye Majukumu Pwani.
we nawe n pimbi 2 huna lolote.... Nina taarifa zako,nakusubiri uingie kwenye anga zangu niku2pie RPG
Una anga zako kumbe
ndo namsubr sasa,kanajifanya kaugwana hapa huku hakaishi,nisumbua inbox na vjtamaa vyake.... mpigamsuli na Mbwiga88.
Acha nihamie jamii intelligence kuna poyoyo lishaingia....!!
::::goddammit::::
Nenda tu mkuu ila usisahau division three yako ya form6 ! na sidhani kama utaweza kujenga hoja huko
wadau kulikon tena,hvo vjembe vyenu havina mwisho aisee!ziueni kiume then ajenda zngne ziendelee,wanaume 2kizunguana 2nasetle mambo kiroho safi
Hapo kwenye bold...Mleta mada ametoka ongelea kitu hiki hiki na wewe umekirudia....Ina maana ujajisumbua hta kusoma mleta mada alicho andika....Umekerupuka tuu na kuanza ku-post..
unaenda lini MABIBO?Wanaendelea kujichora tu hao niliokua nawaongelea....
HELP IS NEEDED,GUYS!
Hivi hapa JF, inakuaje inakuwaje kama mtu anakufuatilia kila kona, halafu anapost uzushi kuhusu wewe kwa nia ya kukuchafua,kukudhihaki,kukudhalilisha na kukushushia heshima...
Kuna jamaa ananitafuta kila niendapo, nimemvumilia vya kutoa, now I'm fed up, I wanna do something for this..
ungeweka "about" hapo ungepungukiwa nini?Wanaendelea kujichora tu hao niliokua nawaongelea....
HELP IS NEEDED,GUYS!
Hivi hapa JF, inakuaje inakuwaje kama mtu anakufuatilia kila kona, halafu anapost uzushi kuhusu wewe kwa nia ya kukuchafua,kukudhihaki,kukudhalilisha na kukushushia heshima...
Kuna jamaa ananitafuta kila niendapo, nimemvumilia vya kutoa, now I'm fed up, I wanna do something for this..
kuna program inaitwa Mavis Beacon nakushauri uitafute itakusaidia sana sitaki kuamini unakurupuka katika uchapaji wako nadhani una tatizo tu bado hujaizoea vizuri hiyo PC yako mpya unayotaka uende nayo chuoni....unaweza ukatumia TYPING MASTER iko vizuri pia kwa beginners
Wanaendelea kujichora tu hao niliokua nawaongelea....
HELP IS NEEDED,GUYS!
Hivi hapa JF, inakuaje inakuwaje kama mtu anakufuatilia kila kona, halafu anapost uzushi kuhusu wewe kwa nia ya kukuchafua,kukudhihaki,kukudhalilisha na kukushushia heshima...
Kuna jamaa ananitafuta kila niendapo, nimemvumilia vya kutoa, now I'm fed up, I wanna do something for this..
ndo namsubr sasa,kanajifanya kaugwana hapa huku hakaishi,nisumbua inbox na vjtamaa vyake.... mpigamsuli na Mbwiga88.
Acha nihamie jamii intelligence kuna poyoyo lishaingia....!!
::::goddammit::::
sorry eti umekerupuka ndio nini?
Wewe ni ke au me??
ungeweka "about" hapo ungepungukiwa nini?