Itawachukua muda mrefu kujitambua kwanini Mpo hapa......
Kosoa na kudhihaki kama wewe siyo mmoja wao.......
Ni hayo tu.
Mbwiga88 nipo mbali na familia vipi kijana ameionaje Necta?
na vipi upo mkoani au usharudi kwenye Majukumu Pwani.
watanzania bhana fujo 2pu... Mkali haijawah tokea Coet.
Last edited by a moderator: