Sumsung Galax F flip3 5G, ya mtumba. Nikiweka line inaniandikia inter unlock netork code.

Sumsung Galax F flip3 5G, ya mtumba. Nikiweka line inaniandikia inter unlock netork code.

Ziroseventytwo

Platinum Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
9,451
Reaction score
17,939
Inaonekana hii simu ilitumika huko marekani kwenye kampuni ya AT&T.
Nikiiwasha bila line inawaka vizuri. Nikiweka line inanitaka ku unlock network code.
Kwankuwa nipo mkoani, na huku mafundi hamna kuna ujanja bila mafundi wa software?
mkuu Chief-Mkwawa
 
Utapata Ufumbuzi Ila Lazima Waweke Mambo Ya Utaalam
 
Inaonekana hii simu ilitumika huko marekani kwenye kampuni ya AT&T.
Nikiiwasha bila line inawaka vizuri. Nikiweka line inanitaka ku unlock network code.
Kwankuwa nipo mkoani, na huku mafundi hamna kuna ujanja bila mafundi wa software?
mkuu Chief-Mkwawa
Kama inataka code ina maana unaweza toa lock remote, ukanunua code online then ukaweka ukafungua. Ili kuepuka kutapeliwa tafuta Tu vijana wa hapa hapa kwetu wenye mabox yanayogenerate hizo code, atakuekea cha juu ila utakua salama
 
Back
Top Bottom