Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,451
- 17,939
Kama inataka code ina maana unaweza toa lock remote, ukanunua code online then ukaweka ukafungua. Ili kuepuka kutapeliwa tafuta Tu vijana wa hapa hapa kwetu wenye mabox yanayogenerate hizo code, atakuekea cha juu ila utakua salamaInaonekana hii simu ilitumika huko marekani kwenye kampuni ya AT&T.
Nikiiwasha bila line inawaka vizuri. Nikiweka line inanitaka ku unlock network code.
Kwankuwa nipo mkoani, na huku mafundi hamna kuna ujanja bila mafundi wa software?
mkuu Chief-Mkwawa