Profesa wa Maliasili
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 632
- 1,935
Nauza simu aina ya Sumsung Grand prime plus bei ni laki mbili (200,000/=), simu ipo katika hali nzuri na haina tatizo lolote nimeitumia kwa mda wa miezi saba, Naiuza baada ya kupewa simu nyingine kama zawadi na ofisi yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app