Profesa wa Maliasili
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 632
- 1,935
Nauza kama hiyo yako 150 ukishauza njoo ununue yanguNauza simu aina ya Sumsung Grand prime plus bei ni laki mbili (200,000/=), simu ipo katika hali nzuri na haina tatizo lolote nimeitumia kwa mda wa miezi saba, Naiuza baada ya kupewa simu nyingine kama zawadi na ofisi yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili ndiyo nini? Inakaa wapi? Ushawahi kuiona akili ww
I can't arguing with pumpkin head like you, enjoy your time broAkili ndiyo nini? Inakaa wapi? Ushawahi kuiona akili ww
Wewe akili yako iko wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili ndiyo nini? Inakaa wapi? Ushawahi kuiona akili ww
Wewe akili yako iko wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh maisha magumu na kingereza chote hiki unawauzia wenzio GPP jiwe mbili
Mkuu tisaidie tu akili inakaa wapi katika mwili wa binadamu na nani ambaye ameshawah kuiona tutamaliza, hawa wajaluo ni watani tuhahaha....mmeshatoana upepo mapema yote hii wajameni
Mkuu tisaidie tu akili inakaa wapi katika mwili wa binadamu na nani ambaye ameshawah kuiona tutamaliza, hawa wajaluo ni watani tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hujaweka Mawasiliano?