Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chunguza vizuri atakuwa sio dògi huyoMawe anayakwepa balaa
Weka tena. Hakikisha inainja kama ipo nyingi au kidogo...Mkuu niliweka kwenye nyama tena ile sumu ya vidonge
Aisee, pole sana. huyo mbwa ni wako? umeomba ushauri kwa wataalamu wa mifugo wakushauri namna bora ya kufanya? Binafsi imenisikitisha sana kuona unawaza kumuua. Hawa wanyama tumewafuga wenyewe lakini tunawatenda kitu mbaya sana. duh.Samahani naomba mnisaidie ni sumu ipi inaua mbwa maana wanakula vifaranga na wanaingia ndani kula mayai, nilimtega kwa sumu ya panya anapeta tu mtaani
Nahitaji msaada wenu maana nikimuacha atamaliza kuku wangu.
Ukitaka majibwa mzururo na mapaka shume Yale iwekee kwenye maini mabichiNgoja niitafute hii yaunga mkuu
Jaribu halafu uniambieMimi ni mtumishi wa Afya siwezi kosa piriton mkuu.
mkuu hii si ananusa tu na kujuwa kuwa ni sumu, au wewe unamtegeaga vipi ili asiisikie hiyo harufu ?Changanya piriton 20 halafu mtegee kwenye chakula chake. Ukiona piriton Ni ghali Basi wekea yeye paracetamol 20 au Panadol 20.
Kesho lete mrejeshi
Piriton haina harufu hata wewe unaweza kujaribu.mkuu hii si ananusa tu na kujuwa kuwa ni sumu, au wewe unamtegeaga vipi ili asiisikie hiyo harufu ?
poa poa bossPiriton haina harufu hata wewe unaweza kujaribu.
Weka kwenye samaki iliyoanza kuchina au nyama iliyotiwa masagazaga kibao. Hakikisha ananjaa halafu tupa jalalani kunguru wale.
mbwa hafi kwa sumu ya panya hata mie binafsi niliishia kwenda kumtupa mbali hakurudi tena mpaka tukahisi wauza mishikaki ya magumashi wamelala nae mbeleHio sumu itakua fake au ime expire,
Ila daah mchina kashindikana.
Chukua mfupa wa nyama ya mbuzi upigilie sehemu yeyote kwenye huo mnazi baada ya miezi mitatu njoo lete mrejesho.Ila sasa isije ikakugeukia na wewe.Mnazi usije kauka ukaanguka ukakudondokea wewe kwenye nyumba yako.Cha muhimu ongea najirani yako kiungwana muukate.Akiwa mbishai nenda kwa mwenyekiti wa mtaaJamani mi naulizia Njia nzuri ya kuua mnazi,
Kuna Jirani yangu alipanda mnazi wake mpakani kabisa sasa umekuwa mkubwa unaleta kero Sana nimempa pesa aukate kachukua pesa halafu kakataa kuukata.
Sasa nataka Njia ya kuua kwa kuukausha kimyakimya.
Namomba anayejua namna ya kuua mti huo mnazi
Mwezako anakukuua wewe unamwambia habari za mtegoKuna jamaa Njombe anatengeneza mitego ya paka, ipo efficiency sana ila namba zake nilipoteza.
Weka Piriton za kutosha kwenye vichwa vya samaki, weka wanapopitia. Thank me laterNina majirani wahindi wana minyau lukuki, imekuwa inakula vifaranga vyangu muda tu, nikawaeleza wafanyakazi wao wakanijibu shitii, eti wao hawawezi kuwazuia paka kutembea wala kuvuka fensi, nasubiria kwa hamu solution humu ..maana nikiwapiga manati wanakimbia then usiku wanarudi mbaya zaidi wanakuja Kun**a kwenye migomba ,harufu ya kinyesi cha paka isikie tu kwa simulizi. Ikipatikana nitaifanyia tendo niuwe hii minyau.
Asee jaribio limefanyika ila matokeo sio positive ..nilinunua piriton na samaki wa kukaanga kama 12 hivi nikawakata vichwa nikasaga vidonge na kujaza unga unga ..katika vichwa nilivyotega vililiwa vi nne tu .. vingine wameviacha.Weka Piriton za kutosha kwenye vichwa vya samaki, weka wanapopitia. Thank me later
Yaani unazidiwa akili na paka?Tangu mwaka jana nimemvumilia kuku akitaga yeye anaingia yaani nimepata hasira
Huyo paka anayekula vifaranga siyo katili?Binadamu ni katili sana