wewe dada mbishi sana, wewe jaribu halafu utaona moto wake, ila ninchojua hatakuchekea bali atanuna kwa muda halafu maisha yanaendelea kama kawa, hebu gusa wewe uone utakavyoungua.
Hujawahi ona wanaume wanaachwa, zubeda lake linatupwa kule
analia kama kafiwa?
maisha yataendelea!!! unajua wanaume mnajidanganya hapo tu mnapofikiri wanawake tunapoamua kuwachekea basi yameisha, na sisi tuna mioyo ati..... wakati mwingine mtu anakaa kimya lakini anajipanga kwa chini chini hakuna anayependa kuishi kwa kuwekwa roho juu kila siku kuwa ataachwa!
unadhani hatujui? tunajua ila kwenye vita wanaouamia ni kina mama, wazee na watoto, mkishajuaga hilo lazima mkae chini.
kwa hoja hii hata wajipodoe vipi hawatoki, wanalijua hili.
kumbe mnajua lakini mnadharau eeh, basi muache kujiuliza kwanini siku hizi wake zenu hawatulii ndani ya ndoa... kila mtu anahitaji amani ya moyo, akiikosa kwa mumewe ataenda pengine (japo hilo nalo ni kosa zaidi)
mama la mama ya JF waachie wana JF mpz.We JEKI nataka kujua tuko wangap maana me sijatishiwa kuachwa haya ulimtishia nani?! Naona kuachana kunakaribia, ohooooo hii filen umetupanga wengi sana
siku akijulikana ndo anajua moto wake, lakini mwanaume akijulikana yanafikaga wapi ndugu yanguuuuuu??
asante mkuu kwa kumsaidia dada yetu, hiyo miti ni minyooofu sana.
hahahaaaaaa yanafikaga kwenye kuwekewa sumu mfe pole pole au kulogwa m'baki kama mazezeta
wewe huwezi kunirahishia kwa kuniambia?
hahahaha, kumbe vita hamuiwezi hadi mkimbilie huko? nyie si mlienda Beijin bhana mkadanganywa eti mwanaume na mwanamke ni sawa inakuwaje kukimbilia kuua na kuroga?
Every relationship has what "How I Met Your Mother" has dubbed a settler and a reacher. In other words, one person in the relationship settles for the other, who is involved in a relationship with someone out of his or her league, the settler.