Sumu ya mwanamke ni mwanamke mwenzie

Sumu ya mwanamke ni mwanamke mwenzie

Hta kwenye suala la ukataji kiuno. Akijua yupo pekee yake analala kama gogo, lakini akisikia kuwa kuna desh desh mwingine, atakukatia kiuno mpaka uombe poo!
 
wewe dada mbishi sana, wewe jaribu halafu utaona moto wake, ila ninchojua hatakuchekea bali atanuna kwa muda halafu maisha yanaendelea kama kawa, hebu gusa wewe uone utakavyoungua.

maisha yataendelea!!! unajua wanaume mnajidanganya hapo tu mnapofikiri wanawake tunapoamua kuwachekea basi yameisha, na sisi tuna mioyo ati..... wakati mwingine mtu anakaa kimya lakini anajipanga kwa chini chini hakuna anayependa kuishi kwa kuwekwa roho juu kila siku kuwa ataachwa!
 
unadhani hatujui? tunajua ila kwenye vita wanaouamia ni kina mama, wazee na watoto, mkishajuaga hilo lazima mkae chini.
 
kumbe mnajua lakini mnadharau eeh, basi muache kujiuliza kwanini siku hizi wake zenu hawatulii ndani ya ndoa... kila mtu anahitaji amani ya moyo, akiikosa kwa mumewe ataenda pengine (japo hilo nalo ni kosa zaidi)
 
We JEKI nataka kujua tuko wangap maana me sijatishiwa kuachwa haya ulimtishia nani?! Naona kuachana kunakaribia, ohooooo hii filen umetupanga wengi sana
 
kumbe mnajua lakini mnadharau eeh, basi muache kujiuliza kwanini siku hizi wake zenu hawatulii ndani ya ndoa... kila mtu anahitaji amani ya moyo, akiikosa kwa mumewe ataenda pengine (japo hilo nalo ni kosa zaidi)

siku akijulikana ndo anajua moto wake, lakini mwanaume akijulikana yanafikaga wapi ndugu yanguuuuuu??
 
Last edited by a moderator:

hahahaaaaaa yanafikaga kwenye kuwekewa sumu mfe pole pole au kulogwa m'baki kama mazezeta
 
asante mkuu kwa kumsaidia dada yetu, hiyo miti ni minyooofu sana.

Sina uchoyo, mimi mkarimu sana tu ndugu. Karibu sana JEKI. Hapa tunapigana jeki ya mawazo haswa JF ni kila kitu.
 
hahahaaaaaa yanafikaga kwenye kuwekewa sumu mfe pole pole au kulogwa m'baki kama mazezeta

hahahaha, kumbe vita hamuiwezi hadi mkimbilie huko? nyie si mlienda Beijin bhana mkadanganywa eti mwanaume na mwanamke ni sawa inakuwaje kukimbilia kuua na kuroga?
 
wewe huwezi kunirahishia kwa kuniambia?

Every relationship has what "How I Met Your Mother" has dubbed a settler and a reacher. In other words, one person in the relationship settles for the other, who is involved in a relationship with someone out of his or her league, the settler.
 
hahahaha, kumbe vita hamuiwezi hadi mkimbilie huko? nyie si mlienda Beijin bhana mkadanganywa eti mwanaume na mwanamke ni sawa inakuwaje kukimbilia kuua na kuroga?

hiyo pia ni aina mojawapo ya vita, kwani kwenye vita watu hawafi??????????
 
Jidanganyeni tu hapa......

Kadiri unavyoongeza mke ndivyo unavyoongeza chance za kumegewa
 
Every relationship has what "How I Met Your Mother" has dubbed a settler and a reacher. In other words, one person in the relationship settles for the other, who is involved in a relationship with someone out of his or her league, the settler.

Leo nimekubaliana na kauli na mwanajamvi mmoja aliyewahi kusema Mentor anaongeaga lugha ya sayari nyingine.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom