Sumu ya mwanamke ni mwanamke mwenzie

hiyo pia ni aina mojawapo ya vita, kwani kwenye vita watu hawafi??????????

kumbe leo ndo nimejua yale maneno kuwa wateja wengi wa waganga wa kienyeji yaani sangoma ni wanawake, kumbe kisa ni hiki, hapa wanaume lazima na sisi tunyoke kwa mtindo huu.
 
kweli huwa inatokea, jaribu kufatilia nani huwa anaumia zaidi baada ya hapo. Najua wanawake huwa mnalipuka halafu mnanywea=kuufyata.
Thubutuuuuu muulize Majigo atakupa taarifa....
 
Last edited by a moderator:
sasa ulitaka adui wa mwanamke awe mwanaume????mwanaume au bwabwa?.............real women dont FIGHT for love first,and second if shit hapens she knows whom to HANDLE first......:suspicious:
 
wewe dada mbishi sana, wewe jaribu halafu utaona moto wake, ila ninchojua hatakuchekea bali atanuna kwa muda halafu maisha yanaendelea kama kawa, hebu gusa wewe uone utakavyoungua.
Nshajaribu sijaungua wala kulipuka.....
 
Hata wanaume wenzio hawakuungi mkono

lete ushahidi maana kwa ushahidi wa avatar(japo wengine wansema sijui miss chagga kumbe mwanaume) tu hapa mwanaume mmoja tu kapinga na waliobaki wamakubaliana na mimi, pia mdada mmoja kaniunga mkono wazi wazi.
 
Last edited by a moderator:
lete ushahidi maana kwa ushahidi wa avatar(japo wengine wansema sijui miss chagga kumbe mwanaume) tu hapa mwanaume mmoja tu kapinga na waliobaki wamakubaliana na mimi, pia mdada mmoja kaniunga mkono wazi wazi.

JEKI usiniharibie soko hapa mimi ni mwanamke mzuri mpole mwenye nguvu za kike
 
Leo nimekubaliana na kauli na mwanajamvi mmoja aliyewahi kusema Mentor anaongeaga lugha ya sayari nyingine.

Duh! mkuu i hope this is a compliment.

Ni mwanajamii gani huyu nimuulize vyema!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…