Sumu ya Polonium Ilivyomuua Alexander Litvenko

Kiukweli kabisa katika uga wa intelijensia usaliti hauvumiliki. Huko usaliti adhabu yake huwa ni kufa. Putin ni jasusi mbobevu. Alikaa Ujerumani Kwa miaka bila kugundulika na anajua hili na husema waziwazi kwamba hana tabia ya kuwavumilia wasaliti.
Ni vyema Litvinenko angekaa kimya kuliko kuwa whistle blower wa Siri sirini.
Nb .
Usimwamini mtu hapa duniani. Fikiria kama Kuna muda inafikia we mwenyewe hujiamini Kuna haja ya kumwamini mwingine kweli?
RIP LITVINENKO.
 
Wale wenye majina ya kiarabu mnaomuonaga Putin kama nabii oneni ushetani wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…