Sunday Manara: England inahitaji mtu kama Mwamnyeto kuchukua kombe la dunia

Moja ya sababu kubwa ya Tanzania kutolewa mapema ni uzembe wa beki ya kati, walishindwa kuanzisha mashambulizi badala yake wakawa wanabutua mipira ovyo pia walishindwa kutuliza timu pale inaposhambuliwa kwa kifupi pengo la Nyoni lilionekana wazi.
 
mi nimeongea mara nyingi sana kwenye hili jukwaa: mwamyeto ni kwamba ana nyota ya kupendwa tu lakini hatuna beki pale
Kwa Afrika Mashariki na kati hakuna beki anayefikia ubora wa Mwamnyeto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…