Sunday News wametulisha tango pori au?

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594


Wadau nimeona hii picha Sunday News leo juu ya ujenzi wa Kwala " Inland" Container Depot, at Ruvu Mkoa wa Pwani.

Nikashangaa kidogo maana picha haionyeshi u inland wowote bali panaonekaka ni ufukwe wa bahari ambayo natumaini ni bahari Hindi.

Pengine kukaa mno Dsm kumeniathiri na ndio nawauliza wadau kuna ufukwe wa aina hii huko Ruvu?
 
Ebu atakae elewa nini swali laleta uzi aje afafanuwe zaidi
 
Wahariri Unday News/Daily News wako likizo ya muda mrefu.
Hakuna fukwe Ruvu.
 
Umelishwa tango pori, ila gazeti dada Daily News watuambie huo ufukwe Ruvu uko sehemu ipi.
 
Hiyo sio kwala depot na wala haifanani na kwala depot even for 0.01%

Hapo mhariri amezingua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…