Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Wadau nimeona hii picha Sunday News leo juu ya ujenzi wa Kwala " Inland" Container Depot, at Ruvu Mkoa wa Pwani.
Nikashangaa kidogo maana picha haionyeshi u inland wowote bali panaonekaka ni ufukwe wa bahari ambayo natumaini ni bahari Hindi.
Pengine kukaa mno Dsm kumeniathiri na ndio nawauliza wadau kuna ufukwe wa aina hii huko Ruvu?