Sunderland v. Man City live!

Sunderland v. Man City live!

Kocha Wa Sunderland kachangamka sana lakini Guardiola kanuna
 
Mancity wanamiliki mpira lakini Aguerooooooooooooo
 
Alitupiwa pasi mabeki wakaduwaa akambutulia kipa ambaye alilala chini akidhani atapiga chini
 
Mancity wafunga LA pili lakini lakataliwa faulo na offside juu ya yote
 
Mancity wanaendelea kuutawala mpira kama kipindi cha kwanza
 
Dakika ya 51 Guardiola anamwandaa De Bruyne kuingia
 
Bao moja kwa bila halitii matumaini Sunderland bado wanaweza kusawazisha
 
Umuhimu Wa kuongeza nguvu ya ushambuliaji iko wazi
 
Moyes anastahili pongezi kuwapanga vijana wake kuwaachia Mancity kuwashambulia watakavyo kama ilivyokuwa kipindi cha kwanza
 
Back
Top Bottom