Sunderland v. Man City live!

Sunderland v. Man City live!

Leroy Sane kapachika bao LA pili dakika ya 59 hivi
 
Sunderland jitihada za kukwepa kushuka daraja itabidi waziendeleze ila umiliki mdogo Wa mpira na umaliziaji mbaya ndiyo kikwazo kwao
 
Wamepata nafasi nyingi lakini wameshindwa kufunga hawakucheza vizuri kipindi cha kwanza ndiyo maana wanaelekea kutoka mikono mitupu nyumbani kwao
 
Wanachofanya Mancity ni kuzuia mipira isiwafikie Defoe na Adjunaz
 
Uwezekano Wa Sunderland kuambulia chochote ni finyu kama wanashambuliwa
 
Guardiola anastahili pongezi kwa kuweza kuzifunga timu zenye kulinda magoli yao
 
Mancity baada ya kuzichana nyavu mara mbili wanachofanya ni kuuchezesha mpira upande Wa Sunderland wakijua ndiyo namna ya kushinda kiulaini
 
Wapenzi Wa Sunderland wanaondoka kuonyesha kutoridhika na kiwango cha timu yao
 
Wanachokosa Sunderland ni kujiamini tu hawana shida nyingine
 
Kocha wao Moyes kashindwa kuifanya timu iamini inaweza kushinda mechi kama hii ya leo
 
Back
Top Bottom