sungura

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
8,586
Reaction score
11,227
shkamooni, mimi ni mfugaji wa sungura nipo dar natafuta soko kwani wamekuwa wengi/ni pm kama una hitaji
 
shkamooni, mimi ni mfugaji wa sungura nipo dar natafuta soko kwani wamekuwa wengi/ni pm kama una hitaji

WEKA MAELEZO YA KUTOSHA KAMA
-upo dar sehem gan?
-hao sungura ni wa aina gan?
-wana uzito gan?
-unawauza bei gani?
-ubora wao ukoje?
-weka hata picha kwa ushawishi zaidi.
-wapo tayari kuliwa ama ni kwa ajili ya kuwafuga?
-vipi kuhusu umri wao?
tumia jukwaa vizuri mkuu.
 
Mi mwenzenu sungura hata siwawezi.....yaani akichinjwa nahisi kama amechinjwa paka hivi
 
nipo kiluvya dar na nina sungura 26. kuhusu aina nina tafiti bado kwani nimenunua mazingira ya kienyeji na wanauzito tofauti ila small size nawauza 5000, mideum size, 10000, larger 16000, na pregnant 25000. unaweza kuwa chukua kwa kuwala ama kuwa fuga
 
Ungeweka namba ya cm ndugu yangu biashara gn hyo unajieleza nusu nusu.
 
Naomba namba yako ya simu ili tuzungumze kuhusu hiyo biashara ya sungura.
 
da aisee.....sungura nimekula zamani kidogo
 
Wachina wsnakula sana hii nyama,fuga wengi utawapaya wateja wengi in Dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…