mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
shkamooni, mimi ni mfugaji wa sungura nipo dar natafuta soko kwani wamekuwa wengi/ni pm kama una hitaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
shkamooni, mimi ni mfugaji wa sungura nipo dar natafuta soko kwani wamekuwa wengi/ni pm kama una hitaji
nipo kiluvya dar na nina sungura 26. kuhusu aina nina tafiti bado kwani nimenunua mazingira ya kienyeji na wanauzito tofauti ila small size nawauza 5000, mideum size, 10000, larger 16000, na pregnant 25000. unaweza kuwa chukua kwa kuwala ama kuwa fugaWEKA MAELEZO YA KUTOSHA KAMA
-upo dar sehem gan?
-hao sungura ni wa aina gan?
-wana uzito gan?
-unawauza bei gani?
-ubora wao ukoje?
-weka hata picha kwa ushawishi zaidi.
-wapo tayari kuliwa ama ni kwa ajili ya kuwafuga?
-vipi kuhusu umri wao?
tumia jukwaa vizuri mkuu.
I want one small white rabbit nipo kkoo
Naomba namba yako ya simu ili tuzungumze kuhusu hiyo biashara ya sungura.