Sungusungu Kariakoo wanakusanya ushuru na kutoa risiti ya kuandika na mkono, hii ni halali?

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Posts
11,422
Reaction score
6,108
Kila mwezi tarehe 1 tu wamefika kuchukua chao kila duka huku wakitoa risiti ya kuandika na mkono hii ni halali kweli?

Ni Kariakoo hapo, wanatoka ofisi ya Serikali ya mtaa wa misheni kota, yaani tangu nihamie mtaa huu najionea maajabu tu.
 
Kila mwezi tarehe 1 tu wamefika kuchukua chao kila duka huku wakitoa risiti ya kuandika na mkono hii ni halali kweli?

Ni kariakoo hapo, wanatoka ofisi ya serikali ya mtaa wa misheni kota, yaani tangu nihamie mtaa huu najionea maajabu tu.
Hiyo ni hela ya Ulinzi shirikishi nilimsikiliza yule aliyekuwa RPC Kinondoni kupitia YouTube Mwamba toa hela Ulinzi utafungwa buree kwa ujuaji wa hovyo hovyo. Hiyo risiti ni sawa tu maana zamani walikuwa wanatumia za EFD lakini Sasa wamerekebisha Sheria.

Baada ya kubaini baadhi ya changamoto katika mfumo huo pia hizo pesa ni kwa ajili ya hao walinzi wanaofanya Doria hapo hapo kwenu. Kama hiyo hela inakuuma Basi uwe unatoka Usiku kufanya Doria maana hayo yalikuwa ni Maamuzi ya Mkutano wa Mtaa kuwa Ulinde au utoe Pesa na Sheria za Ulinzi wa Umma zinataka hivyo.
 
Kila mwezi tarehe 1 tu wamefika kuchukua chao kila duka huku wakitoa risiti ya kuandika na mkono hii ni halali kweli?

Ni kariakoo hapo, wanatoka ofisi ya serikali ya mtaa wa misheni kota, yaani tangu nihamie mtaa huu najionea maajabu tu.
Nao wanakula kwa urefu wa kamba yao
 
Kila mwezi tarehe 1 tu wamefika kuchukua chao kila duka huku wakitoa risiti ya kuandika na mkono hii ni halali kweli?

Ni kariakoo hapo, wanatoka ofisi ya serikali ya mtaa wa misheni kota, yaani tangu nihamie mtaa huu najionea maajabu tu.
Ni halali, hata huku uswahilini tunalipia ulinzi shirikishi.
 
Hiyo ni hela ya Ulinzi shirikishi nilimsikiliza yule aliyekuwa RPC Kinondoni kupitia YouTube Mwamba toa hela Ulinzi utafungwa buree kwa ujuaji wa hovyo hovyo .Hiyo risiti ni sawa tu maana zamani walikuwa wanatumia za EFD lakini Sasa wamerekebisha Sheria.

Baada ya kubaini baadhi ya changamoto katika mfumo huo pia hizo pesa ni kwa ajili ya hao walinzi wanaofanya Doria hapo hapo kwenu .Kama hiyo hela inakuuma Basi uwe Unatoka Usiku kufanya Doria maana hayo yalikuwa ni Maamuzi ya Mkutano wa Mtaa kuwa Ulinde au utoe Pesa na Sheria za Ulinzi wa Umma zinataka hivyo.
Sasa umemshambulia wakati maelezo uliyotoa yangetosha kumpa ufafanuzi maana yeye ameuliza ili apate huo ufafanuzi.
 
Hiyo ni hela ya Ulinzi shirikishi nilimsikiliza yule aliyekuwa RPC Kinondoni kupitia YouTube Mwamba toa hela Ulinzi utafungwa buree kwa ujuaji wa hovyo hovyo .Hiyo risiti ni sawa tu maana zamani walikuwa wanatumia za EFD lakini Sasa wamerekebisha Sheria.

Baada ya kubaini baadhi ya changamoto katika mfumo huo pia hizo pesa ni kwa ajili ya hao walinzi wanaofanya Doria hapo hapo kwenu .Kama hiyo hela inakuuma Basi uwe Unatoka Usiku kufanya Doria maana hayo yalikuwa ni Maamuzi ya Mkutano wa Mtaa kuwa Ulinde au utoe Pesa na Sheria za Ulinzi wa Umma zinataka hivyo.
Sawa
Ila sasa angalau wangekuwa wanapita na kulinda au japo kuchungulia tu,
Hawapo, wapo home wamelalaaaa,
Na ushahidi ni wizi jnafanyika kila siku na ukienda sasa kushtakia hakuna msaada,
Nazungumzia kariakoo ujue ambapo sehemu kubwa kwenye maduka watu wamelala inje na bado wizi unafanyika
Ni hela ndogo ila jinsi inavyochukuliwa ndio inaumiza
 
Kila mwezi tarehe 1 tu wamefika kuchukua chao kila duka huku wakitoa risiti ya kuandika na mkono hii ni halali kweli?

Ni kariakoo hapo, wanatoka ofisi ya serikali ya mtaa wa misheni kota, yaani tangu nihamie mtaa huu najionea maajabu tu.
Na ole wako usipo walipa,lazima frem yako peke yako inapigwa mshindo usiku,na ukija asubuhi frem yako inakungongaa meno yote 32 njeee!![emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kariakoo kila Mtu usalama!![emoji2][emoji38][emoji38]

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
hivyo hivyo, yaani utapeli kwenda mbele
 
Sawa
Ila sasa angalau wangekuwa wanapita na kulinda au japo kuchungulia tu,
Hawapo, wapo home wamelalaaaa,
Na ushahidi ni wizi jnafanyika kila siku na ukienda sasa kushtakia hakuna msaada,
Nazungumzia kariakoo ujue ambapo sehemu kubwa kwenye maduka watu wamelala inje na bado wizi unafanyika
Ni hela ndogo ila jinsi inavyochukuliwa ndio inaumiza
Moja ya mambo ya kushangaza ni kwamba, Mitaa mingi inayoongoza kwa wizi ni mitaa yenye sungusungu,swali ni je, sungusungu ni wezi waliorasimishwa?
 
Back
Top Bottom