jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,963
- 9,401
Kariakoo full ujanjanjaa, asubuhi wanapita na vi ticket vyao vya usafi,wakati mitaro yenyewe michafu,lakini eti Mtu anapitisha kukusanya ushuru wa usafi! Ukimalizana nao hao wanakuja watu Ulinzi shirikishi wenyewe wanajiita! Aka Usalama nao wanataka Chao Cha Ulinzi!!Wanazulma sana hawa,
Ila ukizulumu utazulumiwa tu
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app