Sungusungu Kariakoo wanakusanya ushuru na kutoa risiti ya kuandika na mkono, hii ni halali?

Wanazulma sana hawa,
Ila ukizulumu utazulumiwa tu
Kariakoo full ujanjanjaa, asubuhi wanapita na vi ticket vyao vya usafi,wakati mitaro yenyewe michafu,lakini eti Mtu anapitisha kukusanya ushuru wa usafi! Ukimalizana nao hao wanakuja watu Ulinzi shirikishi wenyewe wanajiita! Aka Usalama nao wanataka Chao Cha Ulinzi!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Jikusanyeni muwe wengi mgome. Maduka ya mtaa mmoja yakigoma kulipa kuna jambo litatokea, sasa kama ww unakataa wenzako wanalipa bora tu ulipe. Raia tunatakiwa tujue kijitetea. Hii nchi hata speed barabarani abiria hawawezi kumkemea dereva. Woga kila mahali.
 
Ni kweli lazima tujitoe,
Nafikiri ndio tunapoelekea huko, hakuna lisilo mwisho
 
Reactions: Tsh
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…