Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hawa wajinga mm nimeachakutoa siku iz wakija nawaambie bado sina [emoji28][emoji1787]Basi ni hivo tu yaani,
Ofisini naambiwa 5000, nyumbani naambiwa 2000, hizi hela ni nyingi sana. Endeleeni tu kutuumiza sisi tusiokuwa na sauti, maana mkija kudai siwaoni mkigonga mageti na kuomba huo mchango wa ulinzi.
Ni kama janjajanja ya mwenge tu serikaali imetenga bajeti wakurugenzi wanachangisha watumishi na huku kitaa polisi wanajaziwa mafuta na serikali, wanayatumia kusindikizia magendo na bangi huku tukichangishwa pesa ya sungusunguhii kitu hivi ipo kisheria au maamuzi ya mtaa na mtaa maana imekaa kichoko choko sana haiwezekani polisi wapo alafu tunalipa watu wakuokota okota kuja kutulinda huu ni umaandazi mazafanta masisiemu