JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, ACP Richard Abwao wakati akizungumza na jeshi hilo la jadi amewambia hawapaswi kutumia nguvu zenye madhara makubwa kwa wahalifu ikiwemo kuua pindi wanapo wakamata.
Kamanda amesema suala la ulinzi na usalama ni jukumu la kila mwananchi kwa mujibu wa sheria.
Chanzo: Eatv