JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
mbona wana matunguliJeshi la Polisi mkoa wa Tabora limepiga marufuku hatua ya walinzi wa jadi maarufu kama Sungusungu kukamata wahalifu na kuwashushia vipigo vizito ambavyo wakati mwingine vimekuwa vikiwapelekea kupoteza maisha kabla ya kufikishwa mikononi mwa Polisi.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, ACP Richard Abwao wakati akizungumza na jeshi hilo la jadi amewambia hawapaswi kutumia nguvu zenye madhara makubwa kwa wahalifu ikiwemo kuua pindi wanapo wakamata.
Kamanda amesema suala la ulinzi na usalama ni jukumu la kila mwananchi kwa mujibu wa sheria.
Chanzo: Eatv
sawa wafate sheria c uonevu.Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora limepiga marufuku hatua ya walinzi wa jadi maarufu kama Sungusungu kukamata wahalifu na kuwashushia vipigo vizito ambavyo wakati mwingine vimekuwa vikiwapelekea kupoteza maisha kabla ya kufikishwa mikononi mwa Polisi.