Statistics
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 3,666
- 7,788
Tafadhali kama una kimeo hicho tuwasiliane ili nikisapue. Tafadhalun sana.
Pia mwenye non do za hiyo kitu ani pm ili nimpe email anifoadie.
Tusaidiane
Ha ha ha,hyo department noma sana kijana.me nashukuru mwaka huu ec 229 na ec 226 nimetoka salama.
As ante mkuu. Mungu yupo upande wanguPole sana mkuu,, utachomoa tu,, nahis iyo ni applied econometrics