Sup ya EC 371 udsm

Sup ya EC 371 udsm

Statistics

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2013
Posts
3,666
Reaction score
7,788
Tafadhali kama una kimeo hicho tuwasiliane ili nikisapue. Tafadhalun sana.

Pia mwenye non do za hiyo kitu ani pm ili nimpe email anifoadie.
Tusaidiane
 
Tafadhali kama una kimeo hicho tuwasiliane ili nikisapue. Tafadhalun sana.

Pia mwenye non do za hiyo kitu ani pm ili nimpe email anifoadie.
Tusaidiane

pole sana mkuu mungu akutangulie utaichomoa tu
 
Ha ha ha,hyo department noma sana kijana.me nashukuru mwaka huu ec 229 na ec 226 nimetoka salama.
 
Pole sana mkuu,, utachomoa tu,, nahis iyo ni applied econometrics
 
Ha ha ha,hyo department noma sana kijana.me nashukuru mwaka huu ec 229 na ec 226 nimetoka salama.

Hongera! Mie mwaka Jana nikaondoka na madesa yote.....ya 226 lkn nikabahatika. Mwaka huu jamaa kanitia adabu.
 
Back
Top Bottom