Prosper C Manasse
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 635
- 690
Upo Sahihi Mkuu Huyo Jamaa Sijui Kama Atalipwa Hiyo Pesa Yote.Michezo ya kamari kuna ukanjanja mwingi sanaa hata ulaya ni hivi hivi ila huko wapo makini sana kwani wakikosea watalipa zaidi ya mara mbili hakuna chakusema odds zilikuja kimakosa siyo kosa la mteja walipe tu ila mimi sina imani na bodi ya michezo ya kamari inayoongozwa na Tarimba kwani ni wala rushwa sina imani kama watatenda haki tusubiri uone watasema kweli sever zilizingua ndo imetoka!
Nje Ya Hapo Tujiize Maswali.
1. Je Hakuna Watu Walilipwa Kwa Odds Hizo Hizo Ila Hiyo Wanamkatalia Kisa Kashinda Nyingi?!.
2. Je Hakuna Watu Waloliwa Kwa Makosa Ya Odds Hizo Hizo?
3. Systeam Haitambui Ukomo Wa Kiwangi Cha Juu Cha Odds?!.
4. Kwanini Hao Waloshinda Pesa Ndogo Wamelipwa Lakn Huyu Aloshinda Nyingi Hajalipwa Ikiwa Wote Walichagua Game Ilozidishwa Odds?
Hawa Super Bet Ni Jipu, Wanahofia Mtaji Wao, Wao Wanataka Kula Tu Kuliwa Hawataki.