Supabets Dar kikaangoni kwa kushindwa kumlipa mteja aliyeshinda milioni 108

Upo Sahihi Mkuu Huyo Jamaa Sijui Kama Atalipwa Hiyo Pesa Yote.
Nje Ya Hapo Tujiize Maswali.

1. Je Hakuna Watu Walilipwa Kwa Odds Hizo Hizo Ila Hiyo Wanamkatalia Kisa Kashinda Nyingi?!.

2. Je Hakuna Watu Waloliwa Kwa Makosa Ya Odds Hizo Hizo?

3. Systeam Haitambui Ukomo Wa Kiwangi Cha Juu Cha Odds?!.

4. Kwanini Hao Waloshinda Pesa Ndogo Wamelipwa Lakn Huyu Aloshinda Nyingi Hajalipwa Ikiwa Wote Walichagua Game Ilozidishwa Odds?

Hawa Super Bet Ni Jipu, Wanahofia Mtaji Wao, Wao Wanataka Kula Tu Kuliwa Hawataki.
 
Kwa Huo Mpunga Mi Ningemtafuta Wakili Namuahidi 10Mill Mpunga Ukicheua, Hapo Watalipa Tu.
 
Kaka kama wanakula rushwa huyu jamaa an haki hata ya kwenda kwa Nape.. Kosa sio lake .. Ina maana wangemla pesa wangezirudisha?
Mkuki mchungu kwa nguruwe
 
Kule Hakuna Figisu Kaka Na Ukishinda Wanakupa Maana Wakifanya Figisu Kampuni Inafungiwa.
 
Ngoja nianze kubet kumbe kuna mihela ya burebure!!
katika bia 4 napunguza, nakunywa 2, mbili nabet!!!^_^!
 
Vijana mfanye kazi! kamari ina addiction mbaya sana! haina tofauti na punyeto! au kale kamchezo ka wale kakapoa wa mombasa. easy to get it in, but very hard to get out of it!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…