Kama yule aliyekuwepo.Hakuna hujuma.
Mkurugenzi anachaguliwa kwa kumiliki kadi ya chama.
MBps ni Mega Bytes per sec
30mbps una stream 4K safi kabisa.Mb 3 kwa sekunde huwezi kustream HD
TTCL wana hiyo program ya kuunganisha fiber majumbani, ila speed ya hiyo installation, Yesu anaweza akarudi bado hujapata huduma. Ila ukipata offer zao nzuri, 20mbps kwa 50,000 na 40mbps kwa 100,000 na kuendelea, zote ni unlimited kwa 1 monthNaona soko limefunguka, kwa sasa TTCL kajisahau, atakumbuka keshapitwa na wateja hawapo
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hao ttcl sitakuja watafuta, tuliwahi enda wakaleta hesabu za kikuda sanaTTCL wana hiyo program ya kuunganisha fiber majumbani, ila speed ya hiyo installation, Yesu anaweza akarudi bado hujapata huduma. Ila ukipata offer zao nzuri, 20mbps kwa 50,000 na 40mbps kwa 100,000 na kuendelea, zote ni unlimited kwa 1 month
Utaratb ni simple sana haijalishi uko wap a utapata hudumaHivi Vodacom post paid Yao Ina utaratibu gani na shilingi ngapi, kila nikiwasiliana nao wananiambia watanitafuta baada ya masaa 24, siwaelewi kabisa na nilipo 3G ipo ya Voda tu mitandao mingine inasoma E
Ya 50k pia sioKama wahitaj huduma ya supakasi internet toka Vodacom kindly check me via 0744 355811
Jamaa wako slow hatariHao ttcl sitakuja watafuta, tuliwahi enda wakaleta hesabu za kikuda sana
Mpaka leo hujanipa update ya ile Unlimited BundleUtaratb ni simple sana haijalishi uko wap a utapata huduma
Now ni easy anywhere in Tanzania utapata huduma Yako ya supakasi LTE
20mbps per 115,000/=(unlimited)
Kindly check me via
0744355811
For more information
Sorry Kwa Hilo bossMpaka leo hujanipa update ya ile Unlimited Bundle
Anataka updates sio sorrySorry Kwa Hilo boss
Kulikuwa na kitu kinaitwa Ha tunnel watu walikuwa wanatumia kupata free unlimited intaneti,saa hivi imefungiwa ila.sijajua ilikuwa inawezaje kufanya kazi baada ya hapo kushtukiwa ikawa imefungiwa na pia ndo sababu hauwezi download vitu kma zamani na pia ukiwa na mb chache data inajizima yenyewe . Na siku hizi sio mu ya vifurushi vya BlackBerry na sijui kwanini Blackberry wawe na vifushi vyao vya intaneti na je hii ni hadi kwa BlackBerry latest zenye Android ama ni mablackberry yakizamani tu ndo yanachagua vifurushi.Hivi kwa nini zamani ilikuwa unaweza kudownload file mtandaoni huku speed inasoma Edge lakini sasa hivi hata ikiwa H tu bila + unakuta file hata la 20kb halidownlodiki. Unaweza fafanua kidogo nini imekuwaje kuwaje??
Na hivi kuna mtandao hapa TZ unaotoa bado zile package za Blackberry zenye BB OS?
Aiseee ikitokea Wamempiga Ufaransa, waarabu watajidai mno
Blackberry za zamani kabla ya hizi za Android OS ndio zilikuwa na vifurushi vyake maalum, kwa kuwa zenyewe kufanya kwake kazi kwenye intaneti ilikuwa ni lazima zipate vitabu (service books) kutoka mtandao husika na ndio package ifanye kazi. Lakini hiyo package haiwezi kuwa tethered na kuipatia internet simu nyingine. Uzuri ni kwamba ilikuwa ni unlimited with no limitation as to speed, yaani ukipewa inakuwa full mwanzo mpaka tarehe ya kuisha kifurushi.BlackBerry na sijui kwanini Blackberry wawe na vifushi vyao vya intaneti na je hii ni hadi kwa BlackBerry latest zenye Android ama ni mablackberry yakizamani tu ndo yanachagua vifurushi.
Tuliitumia sana unlimited hii enzi hizo, ZantelBlackberry za zamani kabla ya hizi za Android OS ndio zilikuwa na vifurushi vyake maalum, kwa kuwa zenyewe kufanya kwake kazi kwenye intaneti ilikuwa ni lazima zipate vitabu (service books) kutoka mtandao husika na ndio package ifanye kazi. Lakini hiyo package haiwezi kuwa tethered na kuipatia internet simu nyingine. Uzuri ni kwamba ilikuwa ni unlimited with no limitation as to speed, yaani ukipewa inakuwa full mwanzo mpaka tarehe ya kuisha kifurushi.
Ilikuwa unyama sana, shusha sana music albums na movies. Wakati huo pia pirates sites zilikuwa za kucheba, rapgodfather.com nk, ilikuwa balaaTuliitumia sana unlimited hii enzi hizo, Zantel
installation cost Yao ikoje?Jamani tujikune tunapoweza.
Ukitaka kizuri lazima uumie sehemu.
Mi niliunga na kwa siku natumia zaidi ya GB 10