Hio Vodacom Supakasi installation fees zake zikoje nataka kujaribuzuku ndo hao wanatoa internet mjini.
mkombozi ni TTCL mkuu, kama kwenu zimepita zile waya za copper na huna kazi kashinde ofisini kwao wasumbue hadi waje wakuekee, hio 25k unapata 4mbps ndio kimbilio kwa wanyonge kwa sasa.
kama mfuko upo vizuri 5G voda, 30mbps kwa 120k sio mbaya.
Wa mwanzo tulipewa bureMbona nasikia kuna kununua router inauzwa laki 6?
Router za 5G zinauzwa ila hizo Supakasi za Biashara ambazo unaingia mkataba unapewa bure.Mbona nasikia kuna kununua router inauzwa laki 6?
Mkuu, unafanyaje ili kuingia mkataba?Router za 5G zinauzwa ila hizo Supakasi za Biashara ambazo unaingia mkataba unapewa bure.
Hao hao mawakala wanakupa, uwe tu na Tin ya Biashara.Mkuu, unafanyaje ili kuingia mkataba?
Hii imekaa poa sana mkuuKAMA UNATUMIA TIGO NICHEKI NIKUUNGE HUDUMA YA POSTPAID UPATE GB NYINGI KWA GHARAMA NDOGO SANA[emoji845]
GB15 KILA MWEZI KWA MIEZI 24 BEI 15000 TU!
GB35 KILA MWEZI KWA MIEZ 24 BEI 35000 TU!
GB48 KILA MWEZI KWA MIEZ 24 BEI 40000 TU
GB75 KILA MWEZI KWA MIEZI 24 BEI 60000 TU.
HUDUMA NI YA UHAKIKA HAKUNA UTAPELI HUNITUMII HELA HATA MIA NAKUELEKEZA TU UNAJIUNGA MWENYEWE MOJA KWA MOJA! (nikishakupa maelekezo unaweza kupiga no 100 ukaulizia ili kujirizisha Zaid)
Niambie nikuelekeze zaid au nipigie au txt kwa no 0717700921